mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira ya ubababishaji

    Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna changamoto kubwa kwa wasimamizi wa mfuko wamekuwa na utata sana kwa walengwa wanaopokea pesa kutoka TASAF...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za China zaweka mazingira maalum kwa ajili ya maisha ajili ya wazee

    Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni karibu asilimia 20 ya wachina wote. Kutokana na maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na teknolojia, umri...
  4. JamiiForums Tanzania Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

    Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe . Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lema: Hakuna mazingira huru kabisa ya uchaguzi, ila imenipasa kutimiza wajibu

  6. M

    JamiiForums Tanzania Responded Dampo la Msufini hatimaye limesafishwa, mazingira sasa yamekuwa masafi

    Soko la Msufini lililopo eneo la Msufini katika Manispaa ya Singida hivi karibuni kulikuwa na changamoto ya uchafu katika sehemu ambayo ilifikia hatua ya kuitwa Dampo la Msufini. Dampo hilo hivi karibuni liliripotiwa kukithiri kwa uchafu ambapo wahusika hawakuwa wakichukua hatua ya kuzuia...
  7. JamiiForums Tanzania Kanuni (principles) na masharti (conditions) ya kutumia ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) Mahakamani

    Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili kutoa hitimisho. Ushahidi wa kimazingira mara nyingi hutegemea matendo ya mtuhumiwa na mazingira ya...
  8. JamiiForums Tanzania DC Temeke amekifungia chuo cha Kewovac kinachotoa elimu ya uuguzi na ukunga Mbagala kutokana na ubovu wa mazingira ya chuo

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amekifungia chuo cha Kewovac kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya uuguzi na ukunga kilichopo Mbagala Charambe kwa kutokidhi vigezo vya utoaji wa elimu hiyo na ubovu wa mazingira ya chuo hicho. DC Mapunda ameagiza kukamatwa mara moja kwa mkurugenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa Tanzania wasipuuze Sera za Mazingira kwa kudhani hazishawishi kura. Mabadiliko ya Tabianchi ni kipaumbele kwa Wapiga Kura wengi

    Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo Kikuu Huria - Singida kiboreshe mazingira yake, ni kama vile kimetelekezwa

    Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani. Pia sehem za kusomea...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kigoma: Baadhi ya Watendaji TANESCO wanaofunga umeme Kata ya Rungwe sio waadilifu

    Wilaya ya Kasulu Vijijini, Kata ya Rungwe mpya, Vijana waliopewa jukumu la kufanya survey na wanaofunga Umeme wanatengeneza mazingira ya Rushwa Nilifanyiwa usajili wa Meter, taarifa zangu zikawasilishwa TANESCO kwa ajili ya kuja surveyor ili anipimie, lakini ni takriban wiki mbili zimepita bila...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TAMISEMI iweke utaratibu maalumu wa Ubandikaji wa Mabango kwa Wagombea kuepusha ubandikaji holela na Uchafuzi wa mazingira

    Salaam Wakuu, Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia. Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Kigogo: Kiwanda cha kuyeyesha Plastiki kinazalisha moshi unaosambaa kwenye makazi ya Watu

    Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilani ya chama cha siasa unachokiunga mkono inazungumziaje utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi?

    Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa nchi yetu Tanzania. Katika muktadha wa kisiasa, ilani za vyama vya siasa zinachukua nafasi muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…