mawaziri

  1. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  2. ubongokid

    Simulizi za Mkatekumeni:Kikao Changu na Mh.Rais Pamoja na Baraza la Mawaziri

    Habari za wakati huu; Leo ninaendelea na sehemu ya pili ya Simulizi za Mkatekumeni Ni mwendelezo usio na mtiririko wa ndoto mbalimbali ninazoota hasa zinazohusisha viongozi na masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Ili niandike andiko hili lazima niote Ndoto so Usipoona Andiko ujue sijaota...
  3. Roving Journalist

    Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  4. H

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  5. Roving Journalist

    Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  6. H

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  7. N

    Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  8. The Father of All

    Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

    Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri. Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua. Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa. Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama. Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama. Ukisifia, hauko...
  9. Fbn

    SGR sehemu kubwa ikitokea mvua kwa ujenzi huu mtapokezana mawaziri kuongea kutetea

    Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha. Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana. Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri. Je wanajua shida nini.?. Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
  10. Fbn

    Tuna vyanzo vingi vya maji ila mawaziri wanakwambia kisingizio mvua 😁

    Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha. Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu. Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale...
  11. Kekule Wa Benzene Ring

    Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  12. JF Member

    Mawaziri wameamua kuwa masikini kama Wazee wa Kwa Tandale

    Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu. Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba. Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko kwenye mtandao. Ni maadili ya kazi tu ndio yanafanya watu wasilete nyaraka. Ila unaumiza sana...
  13. Mhaya

    Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  14. President of China

    Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  15. K

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
  16. President of China

    PostGE2025 Viongozi wa Dini Mbalimbali wahudhuria uapisho wa Baraza jipya la mawaziri - Apostle Mwamposa na Maaskofu wengine walikuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025. Kiongozi wa dini yako umemuona?
  17. President of China

    Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  18. Q

    PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  19. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  20. ngara23

    Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

    1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2 Wizara ya Afya Mchengerwa Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
Back
Top Bottom