mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Deputy Minister for Agriculture and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi, Waziri Mavunde aelekeza mchakato wa mabadiliko ya sheria kuanza

    Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili kuiondoa chumvi katika kundi la madini mengine na hivyo kuchochea ukuaji wa tasnia ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde na Uongozi...
  2. W

    Waziri Mavunde aelekeza kupitiwa upya utaratibu wa malipo ya mrabaha kwa madini ya metali

    Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya lengo lililowekwa kwenye Sera ya Madini ya mwaka 2009 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka...
  3. Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  4. W

    Antony Mavunde atoa siku 30 kwa mgodi wa magambazi Tanga kuthibitisha uwezo wa kuendelea

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa muda wa siku 30 kwa Kampuni PMM Tanzania Limited inayoendesha na kumiliki Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi, uliopo katika Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga, kuwasilisha taarifa za kifedha na kiufundi ili kuthibitisha uwezo wake wa kuendesha mgodi huo...
  5. Waziri Mavunde Azindua Rasmi Shughuli za Uchimbaji Madini PORCUPINE NORTH - Chunya, Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA ▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili...
  6. PreGE2025 Mavunde: Achangia milioni 5 kwa ajili ya kununua miamvuli 100 kwa wafanyabiashara wa Majengo sokoni

    Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka Majengo sokoni mkoani Dodoma kuepukana na changamoto ya jua sokoni hapo. Kupata matukio na taarifa zote...
  7. PreGE2025 Waziri Mavunde aagiza Mradi wa Kabanga Nickel kutekelezwa kwa wakati

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa Kabanga Nickel Project ambao unalenga uchimbaji wa Madini ya Nikeli na...
  8. W

    PreGE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  9. Mbunge Mavunde Akabidhi Mradi wa Shamba kwa Wanawake Wafanyabiashara Wadogo Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara...
  10. Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  11. Anthony Mavunde: Michakato ya kuanza ujenzi wa mpira Dodoma ilikuwa mingi hadi Rais Samia alipoingilia kati ndiyo ikawezekana

    Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana...
  12. Waziri Mavunde - Serikali Inafanyia Kazi Maboresho ya Tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika mnyororo wa uchimbaji na uchenjuaji wa madini hayo. Hatua hiyo imebainishwa na Waziri wa Madini, Mhe...
  13. A

    KERO Mbunge Mavunde, tusaidie wakazi wa mtaa wa Chinyoyo, kata ya Kilimani - Dodoma! Tunateseka sana barabara mbovu sana

    Tafadhali ndugu Mavunde tusaidie sisi wakazi wa mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani tunateseka sana na ubovu wa barabara. Kata ya kilimani ina mitaa mitatu, Uzunguni, Chinyoyo na Image! Cha kushangaza mtaa wa uzunguni(kwa vibopa) kumwtandazwa lami tupu hadi taa za barabarani zimewekwa! Mtaa wa...
  14. PreGE2025 Mbunge Mavunde Awawezesha Kiuchumi Wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    ▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
  15. Waziri Mavunde - Benki Kuu (BoT) Yanunua Tani 2.6 za Dhahabu Inayochimbwa Nchini

    WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI ▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570 ▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye hifadhi kubwa ya dhahabu Afrika Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  16. Waziri Mavunde Asimamisha Uchimbaji Madini kwenye Mto Zila Kijiji cha Ifumbo, Wilayani Chunya - Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA ▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
  17. Mbunge Mavunde Pamoja na Taasisi ya Dodoma Legends Watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma

    ▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
  18. Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  19. Mbunge Mavunde Aahidi Kushirikiana na Waislamu Majengo Kukamilisha Ujenzi wa Msikiti

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
  20. Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…