mauwaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao Mengine wanamwachia Allah Soma Pia: -Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwanamke mmoja Amuua mama yake mzazi ili arithi shamba

    Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye umri wa miaka 89 ili arithi shamba. Mwenyekiti wa ukoo huo amesema ya kuwa tangu Muda mrefu Rose...
  5. JamiiForums Tanzania Babati: Kijana auwawa kikatili na mwili wake watupwa dampo

    Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo. Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu Hata hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuna utekaji na mauwaji Kisemvule Pwani, nani anajali?

    Jana usiku wakati naongea na moja ya ndugu zangu anaishi kisemvule kwa pembe au wanaita kisemvule mpera. Tumeongea mengi pamoja na salamu za hapa na pale akanisimulia kuwa huku baba hali imebadilika sana kuna hali ya sitofahamu watu tunaishi kwa mashaka sana na watoto zenu. Kwa sababu hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

    Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto. Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tamaa za mali mpaka kupelekea mauwaji ya mtalaka wake

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi...
  12. JamiiForums Tanzania Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam? Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

    Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa...
  16. JamiiForums Tanzania Simulizi: Biashara haramu ilivyosababisha mauaji

    Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo. UTANGULIZI Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna yeyote ile hata ikibidi kumkufuru mwenyezi Mungu, amini nakwambia si kila ukionacho kwa macho kuwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

    Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa...
  18. JamiiForums Tanzania RPC wa Dar es Salaam Muliro una Taarifa kuwa Mauwaji ya Kikatili kwa Madereva Bodaboda yamerejea tena?

    Ndani ya Wiki Moja nimetoka Kuhudhuria Misiba ya Madereva Bodaboda Wawili ( tena Vijana kabisa Masikini ya Mungu ) na Wote wameuwa Kikatili ( Kishalubela ) na Watu wanaowapora Pikipiki zao huku Wakiwatoboa na Kuwanyofoa Macho yao. Muda huu huu kuna Mwana ( Rafiki ) nae ananiambia atachelewa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnaamshwa baada ya Matukio ya Mauaji kutokea na siyo kuchukua Tahadhari mapema ili Kuyazuia?

    "Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe. Chanzo: EastAfricaTv Kwa Viongozi Majuha kama hawa na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

    Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…