matendo

Conquest of the Crystal Palace, known in Japan as Matendōji (魔天童子 (まてんどうじ), Demon Heaven Boy) is a 1990 Nintendo Entertainment System platform game developed by Quest and published by Asmik Corporation of America (subsidiary of J:COM).

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

    Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
  2. Hujuma na maneno bila matendo

    Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio. Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
  3. Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Karibuni. Pasco
  4. Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  5. R

    Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
  6. Mbowe ukituongopea sisi wanadamu Mungu anayajua matendo yako unayoyapata kwa sasa ni Karma ya kuwadanganya watu kwa muda mrefu toka hadharani utubu ut

    Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi...
  7. Hivi ndivyo huko CCM watakavyojutia matendo yao waliyowatendea wapinzani..!

    Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr. Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba: Wazungu na hasa watoto wa...
  8. S

    Matendo ya Sabaya: Ukweli ni kwamba tulipaswa kupata Serikali Mpya ila tatizo Katiba haisemi hivyo

    Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
  9. Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  10. B

    Kuiga na kuendeleza matendo ya Hayati Dkt. Magufuli, itasadifu?

    Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati lakini nawaza kwa sauti itawezekana? Hayati Dkt. Magufuli ni yeye tu kuwa kama yeye ni kuiga na...
  11. Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote. Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya. Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…