mateka

Mateka is a settlement in Kenya's Bungoma County.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

    Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa. Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa! Hiyo vita hapo...
  2. Webabu

    Raisi wa Israel,Isaac Herzog aiomba dunia iwe upande wao kuwashinda Hamas ili kuwarejesha mateka wao waliopo Gaza.

    Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
  3. J

    Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

    Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
  4. Ritz

    Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi. Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel "Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?" Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
  5. Webabu

    Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  6. MK254

    Waliokua mateka wa HAMAS wasimulia walichokua wanafanyiwa

    Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel. Mtu akishajiunga ule ushetani akili humhama, uzalendo unamtoka, atasahau hata wazazi na taifa lake...
  7. MK254

    Urusi yaomba Umoja wa Mataifa usaidie kuachiwa kwa mateka Warusi walioshikiliwa na HAMAS

    Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran. ============== June 11 (Reuters) - Russia's Human Rights Commissioner said on Tuesday she had issued a fresh appeal to senior U.N. and other...
  8. Webabu

    Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  9. Webabu

    Kwa msaada wa Marekani mateka wanne waokolewa,wanne wafa katika purukushani za uokoaji pamoja na raia 274

    Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno. Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
  10. MK254

    Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  11. Mlaleo

    Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  12. Mlaleo

    Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha Msemaji wa IDF...
  13. Ritz

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA" Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah. Hamas pia walisema...
  14. Webabu

    Kikosi kama kile kilichookoa mateka Entebe chasambaratishwa Gaza

    Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel. Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na...
  15. Webabu

    Hamas yasema hawana hao mateka 40 wanaotakiwa. Kosa la nani

    Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe. Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa...
  16. Sir John Deere

    Jeshi la Ardhini la Israeli IDF limeshindwa kuwakomboa Mateka Rasmi

    Taarifa zilizopo Rasmi ni kuwa IDF imeviondoa vikosi vyake vya ardhini huko Gaza leo ikiwa ni miezi 6 tangu kuingia Gaza kwa lengo la kwenda kuwaokoa mateka wa kiyahudi waliotekwa Oktoba 7 2023. Kwa mtazamo wa hara haraka lengo limeshindwa kufikiwa la kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas. Je...
  17. Suley2019

    KWELI 1990 Muhamed Ali alikwenda Iraq kuwakomboa mateka wa Marekani kwa kufanya mazungumzo na Sadam Hussein

    Salaam Wakuu, Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka wa Marekani na kufanikiwa. Je, kuna ukweli wowote kuhusu sakata hili? Tunaombeni ufafanuzi
  18. Webabu

    Israel yalegeza masharti kuwezesha kupatikana mateka wake 40 kati ya wale wanaoendelea kushikiliwa na vikundi vya wapiganaji Gaza

    Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana. Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo. Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
  19. Webabu

    Osama bin Hamdan wa Hamas asema hakuna kuachia mateka kabla Israel haijatekeleza matakwa yao

    Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza. Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi...
  20. Webabu

    Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

    Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo. Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao...
Back
Top Bottom