matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Wanaosema watazuia uchaguzi ni matapeli kama matapeli wengine

    Hii ni kauli ya nguli wa sheria na siasa, kwa MBA, uchaguzi hauzuiliki. Kauli hiyo ameitoa wakati akipasua anga za wilaya ya Busega akieneza sera za ACT Wazalendo. === Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa haloteli wanatuibia

    Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu 1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia 2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data...
  3. JamiiForums Tanzania Mtume Bashanda ajiapiza kupambana na maaskofu na manabii njaa na matapeli wanaosambaza ujumbe wa chuki

    Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
  4. JamiiForums Tanzania Dada zetu punguzeni utapeli kupitia mapenzi, kama mtu humtaki kwanini ule pesa yake?

    Kk
  5. JamiiForums Tanzania Kuweni Makini Kuna Matapeli wa Ajira, Soma kisa hiki cha Kweli

    Kisa cha kweli Mwajili Tapel kuweni Makini sana. Katika Ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa adimu kuna matapeli wengi wanaoliza watu tuwe makini, Hiki ni Kisa cha kweli kabisa kanisimulia rafiki yangu kiilimpata last week. Iko hivi huyu jamaa alipigiwa simu na baba yake mdogo Kwamba kuna...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

    Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa 1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50 2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya watu ambao sio wapenda haki bali ni matapeli na wenye chuki binafsi

    1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam. Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni makundi machache yanayonufaika na CCM ndio wanaoshangilia hapa wapo wanajamiiforums wengi 2...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya fibre internet mjini ni matapeli?

    Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ndo namna Watanzania tunavyowaona Matapeli wa Kisiasa kwa sasa.

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia. Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Matapeli wa Telegram walivyogonga mwamba kunitapeli

    Matapeli wa telegram walivyogonga Mwamba kunitapeli Walinicheki na kazi ya kutoa review kwenye hotel za Dar google map , Wakaniuliza , jina, umri na occupation (Alert) nikawajibu . Kanitumia hizo link tatu nikarate , kanirushia Pesa ya malipo ya hizo nilizo rate . Baada ya hapo akaniderect...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  13. JamiiForums Tanzania Mjini kumejaa wahuni na matapeli. Jamaa yangu alisingiziwa kumvunjia mtu iPhone 13 Pro Max

    Siku moja jamaa yangu mmoja kutoka kijijini alinipigia simu akaniambia, "Kaka, nimefika mjini!" Nikamuuliza, "Umefika wapi?" Akasema, "Posta, daraja la Salender Bridge." Nikashangaa, maana sikuwahi kumwambia aje huko. Nikamuuliza tena, "Nani amekuambia ushuke huko?" Akajibu, "Konda wa daladala...
  14. JamiiForums Tanzania Kina dada wanaopost picha za ovyo mtandaoni na kulalamika matapeli kutumia picha zao wanastahili adhabu kali

    Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni...
  15. JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  16. JamiiForums Tanzania Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

    TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Matapeli 11 wadakwa na laini 9,389 za simu

    JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na unyang’anyi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo ametoa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

    Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu. Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
  19. K

    JamiiForums Tanzania KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Kuna matapeli Wengi Sasa hivi Mfano. 1. LBL 2. TERRAOIL Wote lao ni moja
  20. JamiiForums Tanzania HAKI Sawa 50/50 ililetwa baada ya Wanaume wengi kuwa Wakatili na matapeli. Watibeli tunaunga Mkono

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment. Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…