Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kwamba mataifa ya Ulaya yanaanzisha vurugu na machafuko katika eneo la Afrika Mashariki, akiwatuhumu kwa kuwapotosha vijana nchini Tanzania na mataifa mengine jirani kwa lengo la kuleta ukosefu wa utulivu na kudhoofisha juhudi za maendeleo ya viwanda na mafuta za...
Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono.
Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter)
Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
Ili kuepuka maafa ambayo mazingira yake yanatengenezwa kwa kasi na watawala na Serikali, ikihusisha:
1. Utekaji wa wanaokemea udhulumaji wa haki za Wananchi
2. Upotezwaji wa wanaokosoa udhulumaji wa haki za wananchi.
3. Mauaji ya wanaokosoa mifumo ya ugandamizaji haki, na vitendo vya...
Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha.
Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na kushuhudia utendaji kazi wake na uwezekano wa kuanza kufanya kazi nao.
Serikali ya awamu ya sita...
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla.
Mambo ya kufanya na kutokufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.