Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara
1. Leseni ya biashara ni nini?
Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake.
2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo?
Kuna...
Faidika na fatwa mbalimbali za masheikh wakubwa wa Kisunni kama vile:
Sheikh Al-Albani
Sheikh Ibn Baaz
Sheikh Ibn Uthaymiyn
Sheikh Muqbil
Sheikh Fawzan
Fatwa hizi zipo katika mfumo wa video na zimewekewa maandiko ya Kiswahili (subtitles) ili kueleweka kwa urahisi zaidi.
Tembelea kupitia...
Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani.
kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali.
Comment ipo kwenye chapisho...
KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius!
Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana, hasa kidato cha 5 au chini ya hapo, pia wanavyuo.
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema katika masomo yao kwa wenye nia njema. Jukwaa hili ni muhimu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.