masoud kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fikra hadidu ya Masoud Kipanya

    Unasemaje?
  2. Kwenye katuni hii Masoud Kipanya anatoa ujumbe gani?

    Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
  3. Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Wakuu, Yaani kwenye hii nchi kila mtu ATAFIKIWA kama sio leo ni kesho au mwaka kesho lakini udhalimu ukiwa unatokea alafu ukawa kimya na kuwa sehemu ya watawala kwa kukaa kimya, UTAFIKIWA TU. Hawa niliowataja hapo inaonekana wamefungiwa lakini hawataki kusema. Nasubiri kuona kesho kama...
  4. Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

  5. Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
  6. Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
  7. Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

  8. Mwenye kumuelewa Kipanya atusaidie

  9. Napata wapi gari zinazozalishwa na Masoud Kipanya?

    Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya. Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
  10. Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  11. Masoud Kipanya atunukiwa shahada ya heshima kwa Ustahimilivu na athari katika Jamii

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  12. Mahakama Kuu yaondoa kesi ya Masoud Kipanya dhidi ya Mwijaku kutokana na dosari za usajili

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
  13. Mwijaku anusurika kulipa TSh. milioni 500 baada ya Mahakama kufuta kesi ya Masoud Kipanya

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili. Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
  14. T

    Mjadala wa Elimu unatia uchungu na ukakasi. Liandaliwe kongamano ili wananchi tupate fursa kuchangia kwa mustakhabali mwema wa taifa

    Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania. Twaweza wameshafanya tafiti na hata hakuna mwenye akili timamu ambae atapinga. Narudia na kusisitiza kuwa...
  15. Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  16. Kutana na Kijana wa Tanzania Anaeunda Magari. Wakifanya Kolabo na Kipanya Watafika Mbali

    Hongera bwana Tony Chaula muunda magari. Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo. Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa...
  17. Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

    Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
  18. Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

    Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya. Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita). Mzimu wa TLS (Mwabukusi) ndio umefufuka juu unaona mwezi ukiwa umeng'aa ikimaanisha ni Usiku ila unaona...
  19. Masoud Kipanya na Kile Kigari Chake, Kwa Nini Alitupiliwa Mbali?, Angalia na Soma.

    Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!. Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
  20. Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…