masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Wanahitajika waalimu wa masomo ya Math na Economics

    Wakuu wasaalaam ! Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge. Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  4. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Yaendelea na Ujenzi wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi

    MUSOMA VIJIJINI YAENDELEA NA UJENZI WA "HIGH SCHOOLS" ZA MASOMO YA SAYANSI Mahitaji makubwa ya sasa ya Dunia ni kuongeza wataalamu kwenye nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu (science, technology and innovation, STI). Msingi mkuu wa wataalamu wa aina hiyo ni masomo ya sayansi kuanzia shule...
  5. JamiiForums Tanzania Wenye malengo ya kukwea mamtoni kwa njia ya UFADHILI wa masomo njooni hapa kwanza tuone tunafanyaje maana tukisubiri CONNECTION tutaisha

    HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa Ila kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiajiri wanafunzi wa masomo ya Hisabati na Sayansi ili kutatua tatizo la ufaulu mdogo katika masomo hayo?

    Kwa miaka mingi pengine tangia awamu ya tatu, masomo ya sayansi yamekuwa na ufaulu usio mzuri kutokana na ukosefu wa waalimu Ukifuatilia huko shule za Msingi hawana waalimu wa Hesabu, sekondari hawana waalimu wa Hesabu, Physics, Chemistry na Biology wa kutosha. Binafsi ninavyosikia Serikali...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimae nimemaliza masomo yangu yaliyohusu jinsi ya kuwaelewa wanawake

    Huu ni mrejesho wangu mimi mwanazuoni mwehu ndama jitu la mtumba , mteule wa bwana baada ya kuhitimu shahada ya juu kabisa ya jinsi ya kuwaelewa wanawake na namna Bora ya kuishi nao. Tafiti yangu jadidi iliyohusisha mkusanyo wa data kwa njia za kimtandao , mahojiano ya ana kwa ana , pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuahirisha masomo chuo degree mwaka wa pili

    Wanazengo habari zenu Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata kupitia cheti cha form six.. Je ni busara kuahirisha chuo kwenda huko kuripoti ama kumalizia sehemu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi

    Dunia imebadilika sana Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi. Kayumba mwenye ujuzi anaingiza pesa kuliko english medium mwenye divison 1
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi na Uanzishwaji wa "High School" za Sayansi, Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
  12. JamiiForums Tanzania Siku hizi shuleni hawatoi ratiba za masomo?

    Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja. Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

    Acheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii, Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
  14. JamiiForums Tanzania UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA...
  15. JamiiForums Tanzania Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....." Je Hawa ni wa kweli?
  16. JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY, NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL NA PRE- FORM FIVE. (0625012562)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya home Teaching pia. Tunapatikana TEGETA, Dar Es Salaam. Mawasiliano: 0782044028(Whatsapp) 0625012562. KARIBUNI SANA
  19. A

    JamiiForums Tanzania NAFUNDISHA MASOMO YA PHYSICS, CHEMISTRY NA MATHEMATICS KWA A- LEVEL, NA PRE FORM V (0625012562; 0782044028)

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nafundisha masomo ya Physics, Chemistry na Mathematics kwa A- level, na pre- form v

    Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya na home Teaching pia Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp) 0625012562
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…