masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Ndugu zangu Watanzania, Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende. Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji. Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Masomo Yanayoongoza Kuzalisha Mamilionea Duniani.Kwa Takwimu Hizi Wanangu wa Kilimo Tutatoboa kweli au Tuhame Kambi?

    My Take Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board. https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
  5. JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi anaenda kinyume na Sera ya Elimu, analazimisha Wanafunzi wasome masomo yote

    Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023. Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO RTO Rukwa akwamisha masomo ya madereva wa mabasi na malori

    Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Walimu wa UDOM wanafelisha Wanafunzi makusudi!

    Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe. Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani. Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Home tuition bora kwa watoto wenye changamoto za masomo

    Je, mtoto wako: ❌ Hajui kusoma na kuandika? ❌ Ana changamoto darasani au anaachwa nyuma? ❌ Anaogopa masomo au hana msingi mzuri? 👉 USIJALI TENA! Sisi ni walimu wabobezi wa Home Tuition, tunamfuata mtoto hadi nyumbani na kumjengea msingi imara kwa muda mfupi. ✅ TUNAPATIKANA BARA NA ZANZIBAR ✅...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo ya Shahada ya Uzamili kwa Mwaka 2026/2027 Nchini Sweden

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mnyaka Sururu Mboro - Ni "Upuuzi" katika masomo ya historia jinsi Mjerumani "alivyogundua" mlima Kilimanjaro

    Ruka hadi yaliyomo Potsdam baada ya ukoloni "Upuuzi" katika masomo ya historia Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  14. JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  16. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

    SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026 Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
  17. JamiiForums Tanzania PEC Pre & Primary school Kilwa -Masomo.

    Habari za humu wakuu? naomba kujuzwa jamani kama hii shule ipo active na ikiwezekana nipate mawasiliano namba za simu au baruaapepe yao. Asanteni 🙏🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa, hiyo Samia scholarship kwanini mnaitoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya Science?.

    Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu . Acheni siasa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri asema Wanafunzi 𝟭,𝟬𝟱𝟭 kupata ufadhili wa Masomo 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗟𝗔𝗥𝗦𝗛𝗜𝗣

    Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa mwaka huu wa masomo. Akizungumza Julai 22, 2025, Jijini Dodoma na waandishi wa habari , Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…