masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?

    Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!? Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
  4. JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Kufuga senene kwa ajili ya biashara ni wazo jipya lenye fursa kubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kwa muda mrefu senene wamekuwa wakivunwa tu msimu wao unapowadia (kawaida kuanzia Novemba hadi Desemba na mara chache mwezi Aprili/Masi). Hata hivyo, ufugaji wa senene kibiashara unahitaji udhibiti...
  5. JamiiForums Tanzania Masikini wote, Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana

    Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima. Hao watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Masikini wanabidi wazae watoto wachache na matajiri au watu wenye kipato kikubwa wazae watoto wengi na sio kama ilivyo Masikini wamekuwa wabishi sana

    Masikini wanabidi wazae watoto wachache na matajiri au watu wenye kipato kikubwa wazae watoto wengi na sio kama ilivyo Masikini wamekuwa wabishi. Kukubaliana na huu ukweli Watoto wanahitaji mipango na mikakati.
  7. JamiiForums Tanzania Nimechelewa sana kugundua kuwa mimi ni masikini

    Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida. Kwa kifupi, nilijiona ninaishi maisha mazuri sana. Hadi nilipomaliza chuo na kuanza kujitegemea mwenyewe. Hapo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania masikini lakini show off za magari ya serikali

    Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
  9. JamiiForums Tanzania Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

    Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
  10. JamiiForums Tanzania kufa masikini Tanzania ni kujitakia

    Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika. Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na Umasikini Wetu, Kamwe Tusikubali Kuwanyenyekea Matajiri Wanaotunyanyasha kwa Jeuri ya Pesa Zao!, Ili Kujenga Heshima, Tuwe Masikini Jeuri?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  14. JamiiForums Tanzania Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

    Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa Ana macho au hana Ana vidole au hana Ana kucha au hana Ana mpumbu au hana Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole R.I.P shujaaaaa
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  16. JamiiForums Tanzania Masikini wengi wakiwaongelea vibaya Matajiri huwa wanapata auheni ya kisaikolojia

    Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
  17. JamiiForums Tanzania Tajiri anamsihi mwanae kuwa ngono holela inapelekea magonjwa na nzao za hovyo. Masikini anamsihi mwanae kuwa ngono holela inaua nyota na roho yake

    Akili yako ndio ulimwengu wako.
  18. JamiiForums Tanzania Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

    Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Watanzania Masikini wamepungua kwa 25%

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha umaskini wa mahitaji ya msingi Nchini Tanzania Bara kimeendelea kupungua kwa miaka ya hivi karibuni kutoka asilimia 34.4 (mwaka 2007) hadi asilimia 25.1 (mwaka 2025). Akiwasilisha Bungeni taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Waepuke wanawake masikini

    Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote. Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…