mashine

Rage Against the Machine (also referred to as RATM or simply Rage) is an American rock band from Los Angeles, California. Formed in 1991, the group consists of vocalist Zack de la Rocha, bassist and backing vocalist Tim Commerford, guitarist Tom Morello, and drummer Brad Wilk. Their songs express revolutionary political views. As of 2010, they had sold over 16 million records worldwide. The band was nominated for induction into the Rock & Roll Hall of Fame in their first year of eligibility in 2017 and 2018, although both bids failed.Rage Against the Machine released its eponymous debut album in 1992 to commercial and critical success, leading to a slot in the 1993 Lollapalooza festival; in 2003, the album was ranked number 368 on Rolling Stone's list of the 500 greatest albums of all time. The band's second album, Evil Empire, was released in 1996, followed three years later by The Battle of Los Angeles (1999). During their initial nine-year run, Rage Against the Machine became one of the most popular and influential bands in music history, and had a large influence on the nu metal genre which came to prominence during the second half of the 1990s. They were also ranked No. 33 on VH1's 100 Greatest Artists of Hard Rock.
In 2000, Rage Against the Machine released the cover album Renegades and disbanded after growing creative differences led to de la Rocha's departure. De la Rocha started a low-key solo career, while the rest of the band formed the rock supergroup Audioslave with Chris Cornell, the former frontman of Soundgarden; Audioslave recorded three albums before disbanding in 2007. The same year, Rage Against the Machine announced a reunion and performed together for the first time in seven years at the Coachella Valley Music and Arts Festival in April 2007. Within the next four years, minus a sabbatical in 2009, the band continued to perform at more live venues and festivals around the world before going on hiatus once again. In 2016, Morello, Commerford and Wilk formed a new band, Prophets of Rage, with B-Real, Chuck D, and DJ Lord; that band managed to release one EP and one full-length studio album before calling it quits in 2019.After an eight-year hiatus, Rage Against the Machine announced in November 2019 that they were reuniting for a tour in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kutotolesha vifaranga (Hard body incubator)

    Wateja wetu ambao mliweka oda ya incubator za body ngumu [hardboard] za mayai 120,528 hadi 10000 mzigo tayari umefika karibuni mifugo plus mjipatie wahi material ya sasa ni imara na magumu yakudumu. -Body nzuri na imara yenye uwezo wa kudumu kwa muda mrefu -Controller yenye uwezo wa kuleguleti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza mashine ya kutotolesha vifaranga (In

    KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 YENYE SIFA YA KUTOTOLESHA MAYAI YOTE BILA KUBAKISHA HATA MOJA. #SADAKALAWE ●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30 ■Inageuza mayai yenyewe. ■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu. ■Inakuja na warranty ya mwaka mmoja. ■Inacontrol joto...
  3. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Ipi ni mashine bora na imara kwenye kuchomelea

    Habari wanaJamiiForums Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Dkt. BITEKO na EWURA, Zuio la kuwauzia mafuta wateja wenye dumu (gallon) linaleta maafa vijijini kwa wakulima wanaotumia mashine za diesel na petrol

    Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta. Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania. Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Nina laki 2 nataka mashine ya kukandia maandazi na mikate?

    Sitaki za kichina nataka za kutengeneza manual. Chukua tenda hiyo
  7. EngFDM

    JamiiForums Tanzania Mashine zq kuchuja chumvi kwenye maji

    Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya maji chumvi
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya Kusitisha Machine ya EFD

    Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena. Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo...
  9. infor

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

    Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi Uwakala wa simu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukatia majani ( Grass Chopping Machine) inauzwa

    MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Habari wadau. Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe pesa kidogo zinisaidie kwenye mambo mengine. Kwa mwenye uhitaji namkaribisha sana. Grinder Angle...
  13. Meshaki Richard

    JamiiForums Tanzania mashine za bakery au hotels na mgahawa pitia hapa

    Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi. Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni nafuu sana na wale wa mikoani tunakusaidia namna gani usafirishe mashine yako Mashine zilizopo...
  14. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Mashine imeuzwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

    Habarini wakuu, Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu. Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
  16. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kupiga dawa inauzwa, bei 230000/

    Mashine ni mpya kabisa,haijatumika. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia...
  17. nk 47

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kupukuchua mahindi zinauzwa

    Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi Piga no 0716 508073 Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda Bei niTsh850,000/= Inapukuchua na kupepeta gunia 25-30 kwa saa Kwa siku inapukuchua na kupepeta gunia 300 Ina feni la kupepeta...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mashine za kunyolea saluni huchangia kuenea kwa VVU?

    Wazee wa kuzingatia "Angle" uzi huu unawahusu. Serikali yetu kupitia wizara ya afya imekua ikitumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua nchini. Moja ya jitihada hizo ni utoaji wa elimu kwa jamii namna mbalimbali za kujikinga na maambukizi hayo, mfano kuepuka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kusaga na kukoboa unga wa sembe

    Nahitaji mashine ya kusaga na KUKOBOA UNGA WA SEMBE , mashine iwe na uwezo wa kusaga na KUKOBOA Tani 30 Kwa Siku.
  20. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Wa Mungu Kwa Ajili ya Mwanadamu: Katiba ya Sentensi Moja kwa Viumbe Vyote Wenye Akili – Wanadamu na Mashine (III)

    Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
Back
Top Bottom