masheikh

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  2. GE2025 Sheikh Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Siku ya Uchaguzi hakuna atakayebaki ndani, wote tutajitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wakuu, Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
  3. Naona Masheikh wamehitilafiana huku, sisi tunataka wali wao wanakichafua.

  4. Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  5. Muziki ni haram, wasema masheikh tofauti

    Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu.... https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633 https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
  6. Masheikh Wanasiasa Wazalendo Walipigania Uhuru wa Tanganyika

    MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
  7. Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?

    Tofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi wasanii wengi hasa wakiwa wepesi na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi...
  8. K

    Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  9. M

    Ushauri kwa masheikh

    Msijiingize ktk siasa na kuchagua chama cha kufanyia siasa kama mwanachama. Mkitaka kuingia ktk siasa basi msibase sehemu moja ya siasa. Mkiingia ktk siasa kama sheikh Ponda wa Act wazalendo na sheikh Kadogoo wa Chadema heshima itaondoka na itapotea inamaana mtazungumza kwa maslahi ya vyama na...
  10. Maaskofu na Masheikh ni raia pia, tiini mamlaka bila shuruti

    Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka. Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la...
  11. W

    Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  12. Masheikh wajifunze kwa Askofu Gwajima namna ya kutoa msimao wa Kiraia bila kuweka Udini

    Juzi niliona Clip ya Sheikh Mmoja anasema Kwa nini Viongozi wa Kikristo Wanamuandama Mama Samia tofuati na Marais waliopita ambao walikuwa wakristo.... nikacheka tu kwa namna alivyokuwa anatengeneza hoja kitoto sana, kama mtu hasiyekuwa na Elimu. Askofu Gwajima katoa hoja bila kuegemea upande wa...
  13. Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali. Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru. MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
  14. Maandamano ya Tume huru yaongozwe na maaskofu na Masheikh

    Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania. Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi. Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye...
  15. LHRC: Tuna taarifa Masheikh 51 bado wanashikiliwa katika magereza kwa miaka 10 sasa bila kufikishwa mahakamani

    KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU Machi, 10 2025, Dar es Salaam Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
  16. Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

    Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari. Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...
  17. Baadhi ya Masheikh acheni unafiki. Mwingine aibuka na kusema mafuta sio dhambi

    Huu ni mwaka wao Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa...
  18. M

    Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, mpo wapi?

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa? Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh...
  19. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…