mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afrika iwafundishe Mashariki ya Kati utu, waachane na miungu yao ya uharibifu

    Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi, ufahari, na ukatili. Rejea mfano, Wazungu walivyotutawala, kutuibia, na kutupeleka utuwani au...
  2. Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  3. TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

    Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa...
  4. L

    Kanda ya Mashariki ya Kati yakaribisha nafasi ya kiujenzi ya China

    Mkutano mwingine kati ya Saudi Arabia na Iran uliofanyika hapa Beijing umeonyesha kuwa China ni nchi inayotetea amani, na sera zake zinaendana na matakwa ya nchi za Mashariki ya Kati. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia Mfalme Faisal bin Farhan Al...
  5. House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  6. Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
  7. L

    Marekani yashindwa kuzishawishi nchi za Mashariki ya Kati kuipinga China

    Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni kuzishawishi nchi hizo kushirikiana na Marekani kuipinga China. Katika ziara yake Mashariki ya Kati...
  8. Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

    Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala kutoka nchi za mashariki ya kati na kokote kwengine duniani katika kipindi cha miaka ya karibuni ijayo...
  9. KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
  10. Jinsi Israeli ilivyoweza kupata Nguvu ya Kijeshi Mashariki ya Kati na kuwa tishio

    Unachofaa kujua ni kwamba Israeli inabaki katika hali ya ukosefu wa usalama kwa sababu ya kukosa kuafikia amani ya kudumu na majirani zake. Hilo limedhihirika kutokana na machafuko ya kila mara katika sehemu za Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza hatua inayomaanisha kwamba Yerusalemu...
  11. Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo: Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...
  12. Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

    Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na Waisraeli 13 walipoteza maisha. Dunia imegawanyika huku upande mmoja ukiunga mkono kundi la Hamas na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…