mashairi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nani kaimba mashairi haya kwenye wimbo wa Bongo Fleva

    Natafuta Nani kaiimba haya mashairi ni nyimbo ya bongo Flava ya zamani Najua unapenda sauti yangu Najua unapenda mashairi yangu Ila mbona unaponda kuhusu kipaji changu Namtafuta
  2. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
  3. Acehood

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya wimbo wa Lucky Dube "Guns & roses" yanagusa sana hasa kwa tunayofanyiwa na viongozi wetu

    Lucky Dube Lyrics "Guns & Roses" I don't know why I keep believing That one day, they'll bring us together When they've shown In more ways than one That all they care about is the dollar You belong to the one political party I belong to the one musical party Our differences are worlds apart...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha

    Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya Diamond akiwashangaa Watanzania kulalamikia utekaji na forgery za vyeti vya watawala

    Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
  6. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Tuzo za waandishi wa riwaya, tungo na mashairi

    TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021 Utaratibu wa Kushiriki Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
  7. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mke wa pekeako

    Iij
  8. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Tukasikia haya mashairi ya huu wimbo pamoja

    Verse 1: wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts, twiga wanapanda pipa hata bila ya passports, mikoa mingi bado haina hata airports, zaidi ya migodini madini kuya export, bila ya wazawa kufaidika, ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika, big up Mandela leo South sio Africa...
  9. Filipo Lubua

    JamiiForums Tanzania Tumefikia Utimamu wa Uwazimu

    Twajaa utimamu wa uwazimu, bila dhima twamhukumu imamu Huzunini twajifanyia karamu, Ramadhani twabugia kharamu Wenye wehu tumewapa hatamu, dhiki yetu itadumu dawamu Maumivu yatujia kwa jamu, watoto wetu watatulaumu Isikize yangu nudhumu, niambapo kwa yangu taalimu Niseme hilaze bin-Adamu...
Back
Top Bottom