mashabiki wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kuna nini kinaendelea sasa Tanzania kiasi kwamba 'Calculators' zinanunuliwa kwa Wingi mno na Mashabiki wa Yanga FC?

    Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC. Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
  2. DELETED ACCOUNT

    Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

    Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
  3. CAPO DELGADO

    Maoni ya mashabiki wa Yanga yanaumiza mno, kama Taifa tuna safari ndefu sana

    Habari wakuu wana Jamii Forums. Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram. MAONI...
  4. Just Pray

    Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  5. L

    Msemaji wa Yanga hana tofauti na yule Comical Ali, kelele nyingi mashabiki uwanjani hakuna

    Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika sana kuwa licha ya timu yao kuwa nzuri lakini mashabiki wake wengi hawaendi uwanjani au wanasubiri...
  6. G

    TFF wamtafute shabiki aliyemrushia refa msaidizi chupa ya maji

    Katika mechi ya jana ya Yanga vs Tabora utd kuna shabiki alimrushia refa msaidizi (kibendera) chupa ya maji na kumfikia mgongoni, hii ilitokea baada ya refa huyo kunyoosha bendera kuashiria kuwa goli la Dube ni offside, na camera zilionyesha wazi ni wapi chupa imetoka hivo wanaweza kuifatilia...
  7. Just Pray

    POTOSHI Video ikiwaonesha Ulaya wakishangilia goli la Yanga dhidi ya Simba

    Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
  8. comte

    Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

    Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja. Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya...
  9. shuka chini

    Mashabiki wa Yanga

    Habari wadau. Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar. Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Mashabiki wa Yanga Kagera wapiga supu wakiisubiri Kagera Sugar kesho mchezo wa Ligi kuu

    Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho. Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
  11. Kurunzi

    Yanga imejipata, kuitazama Simba lazima uwe na msokoto wa bangi pembeni

    Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba. Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi...
  12. Scared

    Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

    Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi. kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...
  13. Pdidy

    Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
Back
Top Bottom