masanja kadogosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hongera Masanja Kadogosa ila kwa Wizara ya Ujenzi una kibarua kigumu, Makanjanja wameibomoa Wizara

    Nimejaribu kutafuta CV na wasifu wa kielimu wa Ndugu Masanja Kadogosa kupitia ukurasa wa Bunge ambao niliamini ningepata CV yake iliyo sheheni, lakini hola. Ukurasa wa Bunge na maelezo binafsi hayana kitu kabisa. Hili linanipa wasiwasi kuwa licha ya kuwa Masajan Kadogosa liwahi kupata umaarufu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Ubunge siyo majaribio lazima tuulize katika taifa hili umefanya nini

    Tumuulize Mgombea ubunge nafasi ya urais Samia amefanya nini kwa Maendeleo kama siyo kuongeza deni la taifa anafanya kazi ya kukamia tu " Mimi ndiye amiri mkuu wa jeshi" ---------- Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini mkoani Simiyu, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Vijana mjue amani ya nchi hii imejengwa kwa gharama kubwa lazima tuilinde

    Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu, Masanja Kadogosa amewasisitiza wakazi wa Kata ya Masewa hasa kundi la vijana kulinda amani ya nchi iliyopiganiwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abed Amani...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Samia alishamaliza kazi. Kwa sasa anapita tu kuwasalimia wananchi

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadogosa: Kelele za mitandaoni zipo enzi na enzi

    Mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini, Masanja Kadogosa akizungumzia swala la kulinda amani hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka 2025 Kadogosa amesema swala la kelele za mitandao ya kijamii lilikuwepo tangu wakati wa viongozi wa nchi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadogosa aahidi Kuboresha Miundombinu ya Barabara Bariadi kukuza uchumi wa wananchi

    Wenzetu bado wanafurahia kupewa baiskeli jamani, ila wakumbuke hiyo mitano tena watasaga meno bila maendeleo maana hela ndo hizo wamenunuliwa baiskeli :Alien::Alien::Alien: ------------- Mgombea ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masanja Kadogosa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadogosa awapokea Wanachama 35 Kutoka CHADEMA, UDP, CHAUMMA na ACT-Wazalendo

    Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa amewapokea wanachama kutoka vyama mbalimbali vya upinzani ambao wamejiunga na CCM wakati akinadi sera zake katika Kata ya Sapiwi Wanachama hao wanatoka Chadema, ACT- Wazalendo, UDP pamoja na CHAUMMA...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Shida na changamoto za wananchi ndio zimenifanya niache kazi kwenye Shirika la Reli

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu kupitia CCM, Masanja Kadogosa, amesema sababu kubwa ya kuacha kazi katika Shirika la Reli Tanzania (TRC) ni kutokana na shida na changamoto zinazowakabili wananchi wa jimbo hilo. Kadogosa, ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TRC...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa. Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa: Serikali kuanza ujenzi wa reli ya SGR mikoa ya kusini

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini. Akizungumza wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya TRC na waandishi wa habari mkoani...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa aahidi milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Parokia ya Kome

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kadogosa: Ni haki kumuombea Rais Samia kwa jinsi anavyohangaika kutafuta fedha za maendeleo

    Wakuu, Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia! Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan, kwani ndiye kiongozi wa nchi na amekuwa akishuhudia juhudi zake kubwa za kutafuta...
  14. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC Masanja Kadogosa: Watanzania wasiwe na wasiwasi kwamba Treni itazimika kwa sababu ya umeme. Haiwezi tokea!

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina mkondo wa umeme unaojitegemea. Hayo yamesemwa leo Februari 26, 2024 na Mkurugenzi huyo alipokuwa...
Back
Top Bottom