martha karua

Martha Wangari Karua (; born 1957) is a Kenyan politician and an advocate of social justice. She is currently the running mate for Azimio candidate Raila Odinga for kenyas' presidential elections set for August this year. She is a former long-standing member of parliament for Gichugu Constituency and an Advocate of the High Court of Kenya. She was Minister for Justice until resigning from that position in April 2009. Karua has consistently fought for the protection of women's rights and improvements to the democratic process.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi wasema hawamtaki Martha Karua nchini ataleta machafuko

    Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile === Katika Kongamano la wanavyuo mkoa wa Dar es Salaam wameungana na kudai Wakili kutoka Kenya Martha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  3. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Martha Karua na Falsafa ya Wagombanapo ndugu!

    Adabu. Niruhusuni mimi nitumie neno "kiasi" kuelezea utovu wa adabu na ukosefu wa nidhamu wa kuingilia mambo ya kifamilia ya familia nyingine na kudai hiyo ni "haki". Kuna tofauti kati ya upumbavu na hekima na yaonekana baadhi yetu somo hili bado ni gumu kwetu. Moja ya tabia za wakoloni wa babu...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Martha Karua na wenzake wakawaulize makaburu kuhusu balaa la vyombo vya dola vya Tanzania kabla hawajajilaumu mbeleni

    Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mudavadi: Tanzania iko sahihi kulinda Utaifa wake, Jumuiya ya Afrika Mashariki siyo Taifa ni Mwamvuli tu

    Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi. Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania --- MKUU wa Mawaziri, Musalia Mudavadi ametetea matamshi ya Rais wa...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzungumzia machafuko ya mwaka 2007 - 2008 baada ya uchaguzi Kenya bila kumtaja Martha Karua

    Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1500, ubakaji wa zaidi ya wanawake 3000 huku watu zaidi ya 300,000 wakipoteza makazi yao. Ulikuwa ni...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla ampasua Martha Karua: 'Tanzania Ni Taifa Huru Lenye Dola Imara

    Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha Karua. Yaani hizi serikali za kiafrika zinafanana wakuu...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Trending :Kurejeshwa kwa Martha Karua na muitikio wa media huru za Kenya

    Inaonekana Ujumbe Sahihi umefika kwa nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Wanasheria Kenya chakerwa na Serikali ya Tanzania kuwauzia Martha Karua na wenzie kuingia nchini. Chadai ni tendo la dharau kubwa kwa haki

    Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK) kimeeleza kukerwa sana na kitendo cha kinyume cha sheria, kisicho na msingi, na cha kiholela cha kuwazuia kuingia nchini Tanzania wanachama wao wawili, Bi. Martha Karua na Bi. Gloria Kimani, pamoja na Bi. Lynn Ngugi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  12. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

    Na Adv. Heche, Dodoma Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote...
  13. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mawakili Afrika (PALU) walaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa Nchini kwa Martha Karua na Gloria Kimani, waitaka Tanzania kuomba radhi

    Umoja wa Mawakili wa Afrika (PALU) umetoa taarifa kulaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa kwa mawakili wawili wa Kenya Martha Karua na Gloria Kimani pamoja na mwanaharakati Lynn Ngugi, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Watatu hao walikuja...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

    Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn Ngugi na Gloria Kimani. Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili asubuhi...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

    Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi. Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

    Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua. Taarifa kamili hii hapa Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni...
Back
Top Bottom