maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Ilikuwa kwenye uzinduzi wa Maalim Seif Foundation ambapo majina mazito mazito pia yalikuwapo. Walikuwapo kina Samia, Hussein Mwinyi, Othman Massoud, Jussa nk katika wanao matter kwenye siasa za Zanzibar. Hotuba za kusisimua zikitolewa na waliokuwa mahasimu kweli kweli. Ikumbukwe tumetokea...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

    Takwimu huwa hazidanganyi. CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar. Katika mazingira kama haya...
  3. JamiiForums Tanzania Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

    Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya...
  4. JamiiForums Tanzania Siku njema huonekana asubuhi, CCM na Serikali yaonesha kutaka maridhiano

    Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe. Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo. Kwa namna moja au...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kufunga ndoa na mtu ambaye wazazi wa pande zote wameridhia

    Wakuu, Kuna kisa kimoja kimetokea mwanandoa mmoja(mwanamke) amejinyonga na kumuacha mtoto wa miezi 6. Amejinyonga kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kutoka kwa mumewe kupigwa na kusalitiwa lakini sababu kubwa iliyomshindikiza kujinyonga ni kukosa pakwenda, wazazi wake mwanamke hawamtaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…