marekani

  1. I

    Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  2. Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  3. W

    Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  4. Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  5. "In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

    Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure. Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana. Kutokana na hilo...
  6. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  7. Iran wasema hawakuwa na mpango wa kumuua Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai hayo hayana msingi wowote na kwamba kauli hiyo ina nia ya kusambaratisha zaidi mahusiano kati ya...
  8. Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  9. Kuna dalili yoyote tajiri namba moja akapewa wizara huko Marekani?

    Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
  10. Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari ===== UPDATES: ===== Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani. Chanzo: Spectator Index Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
  11. Uchambuzi: Uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris alikuwa kama yuko kwenye semina lakini Donald Trump alikuwa kama yuko kiwandani akipiga kazi

    Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo. Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
  12. Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  13. Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

  14. B

    Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

    Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
  15. U

    Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-15E Mashariki ya Kati ikijiandaa na shambulizi la Iran

    Kumekuchaaa! Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq. ======== The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites...
  16. L

    Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  17. L

    Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
  18. USA wana Demokrasia yao ambayo inabebwa na akili kubwa zilizopo kwenye mifumo muhimu ya Taifa

    Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao. Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama ipo kwa ajili ya Taifa sio Chama na tusitegemee kuona civil war USA labda baadae sanaa.
  19. D

    Marekani 20 million votes za 2020 hazionekani 2024

    JOE BIDEN 2020. alishinda majority ya 81 million votes TRUMP 74 MILLION 2024 TRUMP 71 MILLION MAJORITY HARRIS 66 MILLION VOTES IN SHORT 20 MILLION VOTE ZIMEPOTEA. HAZIJULIKANI KIZILIPO JE DEMOCRATS 2020 WALIIBA UCHAGUZI??
  20. Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad. Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…