Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole
Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.
Kutokana na hilo...
hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha
NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump.
Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai hayo hayana msingi wowote na kwamba kauli hiyo ina nia ya kusambaratisha zaidi mahusiano kati ya...
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani?
Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
UPDATES:
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo.
Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?!
Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo
Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
Kumekuchaaa!
Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan
Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq.
========
The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites...
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao.
Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama ipo kwa ajili ya Taifa sio Chama na tusitegemee kuona civil war USA labda baadae sanaa.
JOE BIDEN 2020. alishinda majority ya 81 million votes
TRUMP 74 MILLION
2024
TRUMP 71 MILLION MAJORITY
HARRIS 66 MILLION VOTES
IN SHORT 20 MILLION VOTE ZIMEPOTEA. HAZIJULIKANI KIZILIPO
JE DEMOCRATS 2020 WALIIBA UCHAGUZI??
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.
Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare...
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66
Hii ya Joe...
Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka.
Haya sasa ndugu zenu wa Democrats (CCM YA MAREKANI) mwaka huu wamefanya kama mnavyo fanyaga.
Wamewatumia akina Mwijaku wa...
Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani,
Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha.
Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.