marekani

  1. Trump awaondolea ulinzi baadhi ya viongozi wastaafu nchini Marekani

    Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi. Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe. “Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza...
  2. Je, marekani itaweka zuio kwa kampuni ya China ya AI [Deepseek] ili kulinda makampuni yake ya ndani ya Artifical Intelligence[AI]

    Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii Je, huu utakuwa muendelezo wa...
  3. Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  4. Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

    Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
  5. Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  6. Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  7. Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

    Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea. Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
  8. Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  9. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  10. L

    Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  11. Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  12. Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  13. Kujiondoa Kwa Marekani kwenye WHO ni sawa na kukataa kuwa Kaka mkubwa Wa Dunia. Trump hafai kuwa kiongozi wa USA

    Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
  14. Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

    WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana. Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu. Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata...
  15. Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  16. Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

    Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia. Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu. Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
  17. TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

    Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok, kuuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani. Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19...
  18. Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
  19. Tiktok yarudisha huduma zake Marekani baada ya juhudi za Rais mteule Donald Trump

    Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi. Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania Tiktok irudi hewani Marekani ni kutaka uapisho wake hapo kesho uweze kwenda "Live" kwa watumiaji wa...
  20. Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…