Marais or Groupe Marais, founded in 1962 in France, is a manufacturer of trenchers. The head office and workshop buildings have been located in Durtal since 2001. Marais society via its founder, Jacques Marais is in 1962 behind the trenching wheel and the mechanized laying of cables or flexible pipes process.
At present, MARAIS line includes mainly wheel trenchers, chain trenchers, and micro trenchers.
Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.
Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
Ndugu zangu Watanzania,
Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja .
Ambapo viongozi mbalimbali na Wananchi mbalimbali wameanza na wanaendelea kumiminika katika kumsindikiza Tajiri huyo wa...
Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu ajabu,
Tofauti na wafanyabishara kama akina Dangote, Mo Mohamed akipiga picha na Rais wa nchi huwa za...
Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia.
Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
kiongozi
kuliko
kuwepo
marais
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uhuru
viongozi
waliowahi
wanasiasa
wote
Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi
Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana
WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
ajali
chivayo
forgery
hali
jela
kabla
kakimbia
kuanza
kufungwa
kufungwa jela
maisha
maisha mapya
mapya
mara
marais
marejesho
master
tetesi
ughaibuni
utapeli
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia...
Viktor Yanukovych aliyekuwa rais wa Ukraine mwaka 2014 alikimbilia Urusi kufuatia maandamano makubwa ya wananchi yaliyopinga sera zake za upande wa Russia.
Bashar al-Assad aliyekuwa rais wa Syria mwaka 2024 alikimbilia na kupewa hifadhi ya kisiasa Moscow baada ya utawala wake kuanguka.
Nicolas...
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea...
Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi.
Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo.
Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
Februari 4, 2026
DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini.
Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
Hii ni hatari sana.
Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro?
...
...
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana.
Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...