mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya. Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti inayozalisha nguzo za umeme na za TTCL. Huu msitu ndio Jaili aliutumia kuchinja watu ambao alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa Sare...
  3. JamiiForums Tanzania Victor Lustig: Tapeli mkubwa aliyeitikisa Paris kwa kuuza mnara wa (Eiffel) mara mbili kama chuma chakavu

    Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili. Mwaka 1925, Lustig alijifanya kuwa afisa wa serikali ya Ufaransa na kuwaambia wafanyabiashara wa chuma chakavu...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  6. JamiiForums Tanzania Tulioajiriwa ni kwamba tumeamua kupata hela mara 12 tu kwa mwaka

    Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali. Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
  7. JamiiForums Tanzania Yesu aliyerudi kwa mara ya pili anasota rumande huko KOREA KUSINI. Anaomba tumuombee aachiwe kwa kuwa yeye ni mzee na pia ni mgonjwa

    Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya 50,000 kwenye chama cha kisiasa. Yesu huyo mwenye miaka 95 anaomba tumuombee aachiwe huru, kwa kuwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

    Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
  10. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED TANESCO wamerekebisha changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara Mkazi wa Korogwe Msambiazi

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kupizi kwa mara kwa mara huchangia hatari ndogo ya kupata kansa

    Source: National Institutes of Health (NIH) | (.gov) Reduction of Prostate Cancer Risk: Role of Frequent Ejaculation-Associated Mechanisms - PMC
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  15. JamiiForums Tanzania Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tumuombee Mchungaji **AMIELI KATEKELA** vita anayopitia kila mara wanajaribu kumuua kwa sumu /bunduki kwa yeye kuhubiri injili ya kweli.

    Kama kichwa kinavyojieleza watu wa Mungu tuzidi kumuinua kwenye maombi mchungaji AMIELI KATEKELA mara kwa mara amekuwa akiwekewa sumu na hata kutumiwa watu wenye silaha za moto bunduki kutafuta kumuua ,kwa sababu ya kuhubiri injili ya kweli ambayo kwa sasa haihubiriwi sana,mitume na manabii wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi nifanye mapenzi mara ngapi?

    Shikamoni wakubwa............. .leo tena mnaobeti mpeni England uhakika. Sasa nimekuja na swali dogo ivi kiafya nichakate mbususu mara ngapi kwa mwezi? Nimeona nilete huu huzi maana kuna binti kwa sasa tunaenda wiki ya tatu tunakulana ila jana nilianza kuwa na hali ya kukinai, Yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  19. JamiiForums Tanzania Malaika wanatulinda bila sisi kuwaona, binafsi nimeona malaika wakinilinda mara kadhaa na kuniepusha na mauti ya ajali barabarani

    Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto ilipelekea kukosa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa chini kabisa, msichana/mwanamke mzuri anatongozwa mara 2 kila siku; kwa mwaka mara 730. Halafu unadhani wewe ndio umemgundua umtongoze?

    Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…