Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman.
Anamaliza form 6 akiwa na miaka 18 au 19, hapa makadirio ya chini body count inasoma 3 au 4, wachache huwa...