mapenzi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Njia sita (6) wanaume wanaweza kuepuka umaskini

    Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
  3. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto wa kipekee. Miongoni mwa wakaazi wa mji huu, kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Musa, aliyekuwa na...
  4. Livanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  5. G

    JamiiForums Tanzania MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mtoto wa kishua

    History sijui nielezeje, Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend wangu ila sasa nimgumu huyo. Ni dada mmoja mtoto wa kishua, alafu ni mlokole wale lia lia kabisa...
  7. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi niliyofanya nimegundua mwanaume akifika miaka 40+ huwa anapata balehe tena!

    Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40. Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16. Utashangaa anafukuzia vibinti vidogo ila yeye hajali anaona ni kama age mate wake licha ya watu kumwona wa...
  8. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa/kuolewa kwasababu ya mambo haya, sauti inatosha huko nyuma?

    Don't Marry because of SEX Don't Marry because u are getting OLD Don't Marry because u are of AGE Don't Marry because u are LONELY Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY Don't Marry because u got PREGNANT for him Don't Marry because u don't want to LOSE the PERSON, Don't...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  11. Fundi manyumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  12. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
  14. Mbahili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta mtaalam wa mapenzi anishauri

    Habari za muda wanajamii... Hii nyuzi ni kwaajili ya kuomba ushauri na mahususi tu kwa wataalamu wakunishauri mapenzi.. Kama wewe ni Willy Osomba Onana, usijichoshe kukoment. Kuna mtoto flani hv kabichi juzi katimiza 19, sasa kaja kitaa changu. Kanaonekana mtu wa dini sana. Ebu wataalamu...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hili jambo limeniumiza inakuwaje unafanya mapenzi kwenye ofisi?

    Tuvumiliane sisi wengine hatuna watu wa kushare nao visanga tunavyopitia in real life so tukiwa na dukuduku, huzuni na hata furaha sehemu ya kwanza tunayoifikiria kuwasilisha yaliyo moyoni ni hapa JamiiForums. Kuna dogo ndiye inchaji wa mahali nilipojishikiza ana power ya mamlaka japo ni mdogo...
  16. Mhaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayashauriki, sio kwamba hatuwezi kukuambia ukweli juu ya mwenza wako

    Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri. Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye mapenzi ninachoweza kukushauri ni namna ya kuishi na msongo wa mawazo. Mapenzi hayashauriki, wewe si...
  17. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni...
  18. mmmuhumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  20. AnyWayZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
Back
Top Bottom