Mapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu.
Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini?
Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha.
Ila enzi za mababu zetu, ilikuwa full burudani; mnakutana mkiwa hamna kitu, baadaye mnachuma pamoja na...
MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi.
Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama yake kwani anaumwa, nilimpigia simu mama yake na akaniambia kuwa hali yake si nzuri. Nilimruhusu...
Hello,habari za leo.
Wapendwa naomba kuwakumbusha kuwa katika kutafuta mchumba, mume au mke Mruhusu Roho mtakatifu akusaidie ili uweze pata mtu sahihi. Watu wengi wamejikita katika kutoa vigezo na masharti wamesahau kuwa mtu yoyote anaweza kuwa hivyo vigezo vile unavyovitaka lakini akawa mwiba...
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria.
Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.
Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya na kiakili, ingawa ni muhimu kutambua kuwa faida hizi zinaweza kutofautiana kati ya watu kulingana na hali ya afya, mahusiano, na maisha yao binafsi. Hapa kuna baadhi ya faida hizo:
1. Kupunguza Msongo wa Mawazo: Kufanya...
Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Pia soma...
1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana.
Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana,
2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya kihisia kwenye ubongo linaponong'onwa kwenye sikio la kushoto.
Wanawake huwa wanavutiwa na mwanamume...
Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?"
Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa funzo kwa vijana wa leo. Hapa sitataja majina halisi ya wahusika na nitaeleza direct lengo tu.
"Wewe ni...
Hapo vip!!
Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili.
Pili ninapoona ushetani...
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa..
Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne,
ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia..
Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
Hi
Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba
Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako
kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe...
ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?..
Je,
ni kitu...
Wanajamvi
Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani.
Hii imekaaje?Ni sahihi kweli?
Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
Habari za wakati huu wote,
Leo Ningependa kushare nanyi hili tukio ambalo lilinitokea, na sio zuri kuliendekeza kwa wale wanaofanya. Nimejikuta nakumbuka mojawapo ya DHARAU kubwa sana kuwahi kufanyiwa.
Kwanza kabisa niseme kuna watu tunadharaulika, nilifananishwa na bulb (Taa), au Mbu wale...