mapenzi ya jinsia moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Umoja Wa Makanisa ya Kipentekoste(CPCT) Tabora yakubali rangi zilizotumika kuashiria Mapenzi ya Jinsia moja, wapewa kibali cha mkutano kwa masharti

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Tabora (CPCT) limeiomba radhi Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo kufuatia tamko lake la awali lililopinga uamuzi wa kusitishwa kwa mkutano wa Injili uliokuwa ufanyike kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026. Awali, Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi...
  2. Mkulima na Mfugaji

    RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja. Akizungumza na waandishi wa habari...
  3. McLaren

    Rasmi, Traore wa Burkina Faso apitisha sheria ya kukataza ushoga. Ukipatikana utaenda jela miaka 5

    Wakuu, Burkina Faso imepitisha sheria mpya inayokataza masuala ya ushoga. Sheria hiyo mpya, iliyopitishwa kwa kauli moja na bunge la mpito, inasema kuwa eyote atakayepatikana na hatia ya kushiriki mahusiano ya jinsia moja, adhabu yake ni kati ya miaka miwili hadi mitano jela, pamoja na faini...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mapenzi ya jinsia moja!

    Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia "Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka huu, utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mbele yako...
  5. Genius Man

    Bunge la Tanzania limeegemea zaidi kwenye visingizio vya mapenzi ya jinsia moja na sio kujibu hoja 17 za uwepo wa uvunjifu wa haki za kibinadamu

    Nilimsikia Mbunge mmoja heti anasema yeye yupo tayari sisi wote tunywe maji ya kisima amesahau ni jinsi gani watanzania maskini wanatekwa naa kuuawa ovyo ovyo bila usalama wowote wengine wana bambikiwa kesi za uongo mabadiliko haya hepukiki sijaona cha msingi hili bunge lilicho jadiri wala hoja...
  6. Just Pray

    Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  7. S

    Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  8. JOHNGERVAS

    Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha...
  9. Mr Why

    FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  10. kilimasera

    Matukio ya Ushoga duniani

    Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba kuwa ushoga ni dhambi na wanaume waache kujigeuza wanawake. Hasira zilitanda miongoni mwa mashoga na...
  11. Waufukweni

    Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  12. Thabit Madai

    Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  13. Just Pray

    SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  14. Dr Matola PhD

    Kipi kinawavutia wanawake kuwaalika mashoga kwenye shughuli zenu?

    Inasikitisha sana wanawake ndio mama zetu wanatubeba tumboni miezi 9 lakini kuna sikielewi na kinanishangaza sana kwenye shughuri za dada zetu imezuka tabia ya kualika mashoga na inaonekana mashoga na wanawake picha zinakwenda sana. Sasa swali langu ni kitu gani kinachowavutia? Na je mtoto wako...
Back
Top Bottom