maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Jumaa Aweso aibuka kidedea kura za Maoni ubunge Jimbo la Pangani

    Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura. Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Apaikunda aongoza kura za maoni udiwani kata ya Mawenzi

    Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, katika uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, Katibu wa CCM Kata ya Mawenzi, Jolitha John...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mufindi Kusini waomba Uchaguzi wa Kura za Maoni Usogezwe Mbele

    Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
  5. JamiiForums Tanzania Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  8. JamiiForums Tanzania CHAN 2024.(uchambuzi na maoni ya mechi zote) hapa

    Kwanini CHAN 2024 na si 2025. Ratiba ya kalenda ya caf huwa ni kila baada ya Miaka miwili, HII ni chan ya 8. Haijalishi huchezwa wakati upi MWAKA uhesabiwa kwa kufatana baada ya miaka miwili. Chan ilipangwa kuchezwa Februari 2025. Januari 2025 Ilisogezwa mbele sababu miundo mbinu haikua tayari...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  10. JamiiForums Tanzania Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

    Wakuu, Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
  12. JamiiForums Tanzania Musiba ashangaa kukatwa CCM: 2020 nilikuwa nafasi ya pili kura za maoni, 2025 nimeonekana sifai kabisa?

    Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake pamoja na majina ya watu wengine Musiba amesema yeye amechukua fomu kwa mara ya nne mwaka huu na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

    Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 MWL. Mbelwa Petro ateuliwa kuwa miongoni mwa wagombea Udiwani Kura za Maoni Kata ya Ruziba

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliokuwa wabunge wa CHADEMA (Covid 19) waliohamia CCM na kubwagwa kura za maoni Ubunge

    Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao. Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt SSH, chondechonde rudisheni majina yote yapigiwe kura za maoni 04 August 2025

    CCM HQ; * Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2 * Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo; * Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu. Mipasuko hii ni mikubwa na ina...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  20. JamiiForums Tanzania Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…