maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mada Maalum: Vurumai za kura za maoni CCM

    Leo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM. Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi ndani ya chama hicho. Angalau kwenye kila Jimbo kuna malalamiko dhidi uwepo wa rushwa udanganyifu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
  4. JamiiForums Tanzania Moto wazidi kuwaka UWT K'njaro.walioenguliwa kura za maoni watishia kurejesha kadi za CCM

    MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
  5. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nasoma Maoni wakuu: Ni kitu gani kinavunja Demokrasia? na Kipi kifanyike kurejesha Demokrasia ya Taifa letu?

    Wakuu wa JF habari zenu, Leo nimetafakari sana suala ya mapambano ya Kuhamasisha kuwepo kwa Demokrasia kwa nchi yetu, kuna viashiria vinavyotushawishi kusema Taifa hili lina Misingi ya Demokrasia au la. Tuweke pembeni suala la vyama vya siasa kisha tujiulize tu kuwa kulingana na kiashiria cha...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wilson Mahera ambwaga Sagini kura za maoni Butiama

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Wilson Mahera, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama, akimshinda mbunge aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Condester Sichwale aongoza kura za maoni Momba

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  10. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe wa CCM wamuhenyesha Mnyeti kura za maoni, aangushwa vibaya

    Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti. Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke

    🛑 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke. Fadhil Mohammed Famonga mshindi kura za maoni kupitia CCM jimbo la Temeke – Famonga ambaye amewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Temeke. #AsanteniWajumbe
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Kuongoza Kura za Maoni haimaanishi umeteuliwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo kimehitimisha zoezi la kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge katika majimbo ya Ubungo na Kibamba, huku Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Anjellah Kairuki wakiibuka vinara wa kinyang’anyiro hicho Akizungumza na waandishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Shangwe laibuka baada ya Eric Shigongo kuibuka mshindi kura za maoni CCM, jimbo la Buchosa

    Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…