maofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii tume ya Rais ikimaliza iende kuchunguza Wizara ya Ardhi. Watu wanaporwa viwanja wahusika wako maofisini mateso makubwa

    Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk. Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka. Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chuki, unafiki na uzushi maofisini tiba yake ni nini?

    Hili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale. Na kitu kibaya utashangaa hata boss anaekuzidi mshahara na cheo anakujengea chuki kubwa dhidi yako. Huku Maofisini...
  5. JamiiForums Tanzania Vikao maofisini viwe kwaajili ya mameneja, sio kwa wanaotakiwa kufanya kazi

    Vikao vya mara Kwa mara ofisini vinaboa na mara nyingi hivyo vikao ni useless na vinapenda kuzungumzia kazi zinazotakiwa kufanyika badala ya kufanya hizo kazi. Tunapoteza muda mwingi kufanya vikao unategemea kazi zangu nitafanya saa ngapi? Najua managers wameajiriwa ili kuongeaongea lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    .
  7. JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono sehemu za kazi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya Mwaka 2007; Rushwa ya Ngono ni kitendo anachofanya Mtu mwenye Mamlaka, katika kutekeleza Mamlaka yake kudai Ngono au upendeleo wa aina yoyote kutoka kwa Mtu kama kishawishi cha kumpatia Ajira, Cheo, Haki, Fursa au...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kama kodi zinajikata zenyewe kwa njia ya mitandao kuna haja ya kujaza watu wa kodi maofisini?

    Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
  9. JamiiForums Tanzania Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

    Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar. Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia 0766281783
  10. JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

    Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD. Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc. Huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Habarini wakuu, Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi. Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…