Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau
Tumia bando lako kwa manufaa
Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na...
Kwa wale wote wanaopenda kufuata mkumbo wa maandamano naomba niwakumbushe tu baada ya wao kufanikisha takwa lao la kisiasa utasahaulika kama ulijitoa uhai wako.
Mwaka 2007 baada ya serikali ya Nusu mkate kupatikana Raila alipewa kitengo na ndio hivyo wale wote waliojitoa uhai walisahaulika...
Justice needs to be Seen to be Done.....
Ni mengi yametendeka hivi karibuni wala hayahitaji maelezo, kuna wengi waliopoteza ndugu zao na jamaa zao (hata tukisema hao jamaa walikuwa waharifu basi ni vema tungewashika na kuwashitaki)...
Sasa sababu tumeshafika hapa na tunahitaji kuponyana na...
ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu.
Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako Israel hushambulia...
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Hawa watu ni muhimu sana Kwa Manufaa ya Tanzania ya Leo na baadae , ni watu ambao Kanuni, Falsafa na Imani zao kuhusu Tanzania Bora zinapaswa kugeuza kua ITIKADI YA NCHI !!.
Ni watu ambao ni Nadra sana kupatikana, katika wakati kila MTU amekua Chawa Chawa kiasi cha kupofusha viongozi wasione...
Bila kufanya haya. Mizimu ya Magufuli itakupata Mama nakupa ovyo tu. Tusije kulalama hapa tenda haki uondoke na heshima yako
1. Kutoa hotuba ya kitaifa kwa hali halisi ya taifa
2. Kuomba Msamaha kwenye hotoba hiyo kwa Kenya na Uganda kwa wanaharakati na nchi zao kwa ujumla wake
3. Kesi ya Lissu...
Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi.
Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na itakufa hasa hizi Biashara Zetu za kutafuta pesa ya kula.
Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania.
Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu.
Kiualisia mimi ni...
Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri.
Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
Wakuu,
NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania
Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:<
1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji?
2. Kwanini riba ya...
Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura mafisadi.
Jeshi jiulizeni vizuri wenzenu wamekufa huko Congo Je ni lini hao wanasiasa wamewaongelea...
Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu viongozi wenzake wa ndani ya chama wamekosa imani kwake. Uingereza hii inatokea mara nyingi sana na...
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini
Ikiwa Serikali...
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini
Ikiwa Serikali...
Hello bosses and roses.
Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae...
Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao...
DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo.
Mh. Dkt. Mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.