manispaa ya morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Masoko ya Manispaa ya Morogoro ni kama yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara

    Unapofika kwenye baadhi ya masoko katika Manispaa ya Morogoro ni kama mahame au yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara uliotarajiwa. Badala kusikika kwa kelele za wanunuzi wakibishania bei, vicheko vya wafanyabiashara na harufu ya bidhaa mpya, unakutana na ukimya ‘unaosindikizwa’ na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi Zangina Alivyokita Kambi Uandikishaji Daftari la Mpiga Kura Manispaa ya Morogoro

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya Manispaa akianzia Ofisi ya CCM Wilaya ya Morogoro Mjini na kufika kwenye Kata. Mwenezi Zangina...
  5. A

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Machinjio ya Manispaa ya Morogoro ni kama imetelekezwa, ni chakavu, kuna uchafu na harufu mbaya

    Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi wanaozunguka eneo hilo pamoja na wapitanjia kutokana na miundombinu kuwa mibovu hasa ya kupitisha maji...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Oparesheni agua leseni inayoendelea Manispaa ya Morogoro. Faini Sh 100,000 kwa wasio na leseni inaingia mifukoni mwa maafisa mapato. Uhakika huu hapa.

    Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika Halmashauri zote nchini. Katika oparesheni inayoendelea ya kukusanya madeni inayoendelea kwa...
  8. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msitu wa Nongeni uliopo Bigwa Manispaa ya Morogoro hatarini kutoweka

    Msitu huo umegeka kuwa Shamba la Kuchoma Mkaa, Kuni na Mipini na hivyo kuhatarisha biodiversity iliyopo Ni eneo pekee lililobakia kwenye Uluguru lenye Low land Miyombo, pia ni nyumbani mwa wanyama Kama nyani, kima, ngedere, mbega, dikidiki hata nyoka na chatu na viumbe wengine. Ni chanzo cha...
Back
Top Bottom