mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nimependa ujumbe wa Mange Kimambi kwa radical Muslims

    Mastermind wa mauwaji ya waandamanaji wa Iran, Ali Larijani, is dead Justice served!!!!! Wauwaji wa wananchi wanatakiwa kukutana na kifo kama wanachowapa wananchi wao. I’m a Muslim, I’m not a radical Muslim. UAE, Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain hao pia ni Muslims na sio radical Muslims ila...
  2. M

    Mange Kimambi: Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia kwa Magufuli

    Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa. Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa. Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari...
  3. Inside10

    Mange Kimambi: Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa

    Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa. Khamenei anasema mtoto akiingiza miaka 9 ni ruksa kumuingilia kimwili. Nilipopiga yowe la uchungu wa uzazi ni hapo aliposema kuwa hairuhusiwi kuingilia kimwili mtoto wa chini ya miaka 9 ila ni ruhusa kupata raha zingine za...
  4. Common Folk

    Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

    Mange ameeleza tukio zima la mfanyabiashara kutekwa, ambapo analeza tukio hilo lilifanyika karibu na ofisi za mkuu wa wilaya
  5. R

    Mange Kimambi apinga Trump kuishambulia Iran

    Anapinga Trump kuishambulia Iran: I’m a liberal, have donated to dems since I have been in this country but I’m going to say to you, SHUT THE FvCK UP!!!! . America does not exist in isolation. It is the most powerful nation in the world, and with that power comes responsibility, a...
  6. S

    Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Wafuasi wa Mange kimambi hawana akili timamu

    Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi. Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  9. Waufukweni

    Kesi ya Mange Kimambi kuendelea leo Januari 28, Kisutu

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma: Kesi ya Mange Kimambi ya utakatishaji wa fedha kuunguruma leo Desemba 4, Kisutu Mange, anayeishi Marekani, ameshitakiwa kwa...
  10. Its Tesha

    Kesi ya Mange Kimambi kuendelea leo Januari 28, Kisutu

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma pia PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138 Mange...
  11. Common Folk

    PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  12. S

    Walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano yanaweza kudhibitiwa, wakasahau ICC wataenda wao na si Mange

    Yaani hawa watu kwa ujinga na ulevi wa madaraka, walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano anayoyahamasisha wanaweza kuyazima na kwamba serikali haiwezi kupinduliwa kwa njia ya maandamano. Hata hivyo, walisahau kuwa Mange hatasimama katika Mahakama ya ICC kujibu tuhuma yoyote ya mauji bali ni...
  13. Dogoli kinyamkela

    NAROGA : Account za mange kimambi zirudishwe ...

    NAROGA : Account za mange kimambi zirudishwe ... Ili ndio zoez langu la kwanza baada ya kutoka ujinini
  14. Kizibo

    Ni wakati sasa JWTZ ifanye manuva kama ya Marekani kwa Mange Kimambi

    Waende marekani kimya kimya wamnyakue Mange kimambi ile shwaaa waje nae wamkabidhi kwa Mwana sheria mkuu. Uzi tayari
  15. Lord Denning

    Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

    Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani. Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
  16. ERTUGRUL BEY

    Masih Alinejad ni Mange Kimambi wa Iran

    My people, Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi Marekani,anahoji kama wanawatendea ubaya wananchi wa nchi hiyo basi na familia zao nao zirudi Iran...
  17. Hance Mtanashati

    Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  18. Mto wa mbu

    Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

    MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29. Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
  19. M

    Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
Back
Top Bottom