maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimefurahi kumwona huyu chali akiwa hai maana maneno yalikuwa mengi sana

    GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
  3. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mufti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery: Tuache Maneno ya Uchonganishi

    Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na...
  4. JamiiForums Tanzania Viburi vinaanza kupungua kuna nini tena mnatoa maneno ya upole

    Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole. Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niffa kumbe ni muislamu?

    Mwanzo sikujua kama muislam. Baada ya kuachiwa akasoma Surat-Tin yaani sura ya 95 "Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ) Mafundisho wa aya hii 1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu...
  6. JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

    Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutishia kuua kwa maneno ni kosa la Jinai. Sheikh aliyetishia kukata vichwa watu kwa majambia anapewa onyo!

    Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa? Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
  10. H

    JamiiForums Tanzania Maneno yanayotamkwa na mashehe yanahamasisha machafuko nchini lakini hawachukuliwi hatua kwasababu tu wanawatetea CCM

    Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia. Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
  11. JamiiForums Tanzania Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

    1. SLEEPOVER Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l. 2. ONE NIGHT STAND Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile. 3...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

    Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
  13. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tuomboleze vifo vya wenzetu kwa matendo na si maneno

    Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria na sio amri za watu binafsi wanaojipa nchi kua mali zao, uwajibikaji wa viongozi na kuheshimu haki...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya mtandao kufunguliwa maneno ya REST IN PEACE yametapakaa kwenye mtandao yote ya kijamii

    Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliliona hili, hatimae Leo tunaishi katika maneno yake

    Alikua mbele ya muda
  18. JamiiForums Tanzania Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

  19. JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…