Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram.
"Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi...