manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inapocheza na Haiba ya Kuvutia ya Haji Manara

    Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia. Muda si muda watazamaji wanagota laki +. Na ukweli hawa hawakunifuata mimi. Wamemfuata Haji...
  2. JamiiForums Tanzania Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

    wakuu ====== Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central. Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
  3. JamiiForums Tanzania Manara: Diamond angechelewa ningemuoa Zuchu

    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe mwanamke huyo.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

    "Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara. Chanzo Taarifa: manaratv Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
  7. JamiiForums Tanzania Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

    Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
  8. JamiiForums Tanzania Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

    Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao. https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
  9. JamiiForums Tanzania Manara limemkuta jambo

    Huko mitandaoni kona za Instagram kumechafuka habari kubwa ni kumuhusu Manara.... Kwa sasa wadau wanasema lile jina lake la semaji halimfai bali aitwe Sengenyaji kwa sbb ya tabia zake za kusengenya watu mpaka wa karibu yake na wanaomuweka mjini.... Manara inasemekana voice notes zake zimemfikia...
  10. JamiiForums Tanzania Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

    Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Haj Manara awashukia Waislamu

    Pengine Sio Tone nzuri ya kubembeleza lakini kwa jambo hili naamini nilikuwa sahihi! Haiwezekani tusifiane Wafanyabiashara wengi ni Waislaam kisha Maimamu wengi wanaotuswalishia Miskiti yetu na Waalimu wanaotufundishia Watoto wetu elimu ya dini wawe omba omba na malofa!! Tufikirie sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

    Wakuu wanawake wana njaa Sana . Na hawana akili za kuwaza mbali Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
  13. JamiiForums Tanzania Aziz Ki, baada ya Haji Manara kumalizwa na kausha damu, na wewe jipange, huna muda

    Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna. Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
  14. JamiiForums Tanzania Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

    Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila. Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School . Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume JamiiForums nadhani tumeshapata Somo Kubwa na la kutosha kupitia yaliyokuwa Mahusiono ya 'Ki - Ndumilakuwili' ya Haji Manara na Zaylisa

    Ni kwamba...... 1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke 2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo . Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki 4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya Kaa Kimya na usishindane na Mwanamke, kwani Bibie sasa anataka kupiga Bomu lako la mwisho ambalo litakumaliza na kukuumiza mno tu

    Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
  17. JamiiForums Tanzania Hajji Manara ndoa kwake ni biashara japo watu hawajamshtukia .

    Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke . Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Haji Manara wasimfundishe adabu

    Hi Mimi binafsi huyu jamaa sikubaligi hata kidogo kwanza ana mdomo mchafu hana lugha mzuri mbele za watu hata kwa familia yake ilo lipo wazi Chaajabu yanga wanaendelea kumbeba kwanini walimshindwa simba Mfano kwatukio la leo hili ni udhariroshaji mwanaume unashindwa kuwa na kifua ukatatua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ametoa rasmi cinema aliyosema Rais Karia

    Ile cinema aliyosema Rais wa TFF kuhusu Yanga hatimaye leo ijumaa imetoka na angalieni kwenye Manara TV, asante
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…