manabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tofauti ya Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Walimu ni ipi?

    TOFAUTI YA MITUME, MANABII, WAINJILISTI, WACHUNGAJI NA WAALIMU NI IPI? Huduma hizi 5 tunazisoma katika kitabu cha Waefeso. Na madhumuni ya Bwana Yesu kuziweka huduma hizi tano (5), kama huduma za Uongozi katika kanisa ni kama mstari wa 12, unavyosema. Tusome tena.. Kumbe lengo la kwanza ni...
  2. Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

    Habari! Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha. Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti...
  3. Kwa waganga wasiende; Kwa manabii wasiende, mnataka waende wapi?

    Angalizo; Andiko hili linaweza likawa na Lugha Kali inayoumiza, hivyo Kama wewe sio mtu wa kuhimili lugha Kali nakusihi ishia hapahapa! Au usome ukiwa chini ya uangalizi wa Wanasaikolojia na Wataalamu wa mihemko. Kama utaendelea kusoma itahesabika kuwa unahimili au upo chini ya uangalizi...
  4. Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    VIP
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…