mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security. Tuliitwa Vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

    Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi? Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo? Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    "Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe...
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka tafadhali tunawasihi mtoe ruhusa daladala Mbezi....Muhimbili

    Jambo hili lichukuliwe kama dharura,,,,Kwa sasa mwendokasi si rafiki kwa watu wenye changamoto za kiafya na wengi wetu hatuna mbadala wa usafiri toka maeneo husika uelekeo Muhimbili. Kwa kweli tunawaomba, tena tunawasihi... si kuangalia ! bali kuruhusu,si daladala tu,...bali hata usafiri...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hivi Mamlaka za Mwanza zimeshindwa kukabiliana na magugumaji Ziwa Victoria?

    Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi. Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha...
  6. JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli za watu wa Mamlaka

    Mi Binafsi sijawai kuajiriwa, Zaidi ya Kufanya shughuri zangu mwenyewe. Sasa Mara Nyingi huwa nakutana na Hawa watu, wa Mamlaka cha kushangaza Hawa watu Wana sisitiza na kuongea watu wajiajiri wakati wao wameajiriwa, Ukitazama kuhusu Watoto wao nao poa hawajajiri Bali wameajiriwa, na hii kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunafikisha ujumbe wa mabaya yanayofanywa kutoka haya maeneo ya kihistoria, msitaje hayo maeneo bali taja mamlaka hizo zinazofanya mabaya hayo

    Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel anapigana na hezbollah Usiseme Yemen inadungua meli za US bali sema wahuthi wanadungua meli za US Haya ni...
  10. JamiiForums Tanzania K/Mkurugenzi Ubungo: Kampuni ya Boss Kazi company limited imepewa mamlaka ya kukusanya ushuru wa maegesho yasiyo rasmi, ataekiuka hatua za kisheria zi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO Tarehe: 11-04-2025 TANGAZO MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WATUMIAJI WOTE WA VYOMBO VYA MOTO (MAGARI, BAJAJI, NA PIKIPIKI) KUWA KUANZIA TAREHE...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mamlaka ya Rais yamepatikana kikatiba, katiba imepewa mamlaka na nani?

    Hellow! Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo! 1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT? 2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi? 3. Na ikiwa mamlaka...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya pekee haitoweza kuleta mabidiliko yanayohitajika kwenye taifa kama mamlaka hazitoacha pia na uchawa

    ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo. Uchawa kwenye mamlaka...
  13. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  14. JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka tuwaokoe hawa watoto kabla ya kutokea maafa

    Hii ni hatari sana kwa watoto wetu, hasa kipindi hiki cha mvua. Hapa ni maeneo ya Banana - Ukonga. Chukueni hatua mapema.
  15. JamiiForums Tanzania Aweso aelekeza mabadiliko ya mfumo na utendaji mamlaka ya maji Ushirombo

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa wananchi na kupokea taarifa ya utendaji kazi sambamba na kujionea mazingira ya watumishi. Waziri Aweso...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa nimeelewa maana ya “No reform, no election”! Tutaandamana uchi nchi nzima ikiwa mamlaka zitaendelea kushupaza shingo!

    Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka Cha kujeruhi na kuwasababishia wapinzani ulemavu ! Na wengine wengi wamepoteza maisha !! Ikiwa mfumo...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Moshi Manispaa, MUWSA, tunaomba mtenganishe Bill za kulipia maji na Notice ya kukatiwa maji

    Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa. Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo...
  18. JamiiForums Tanzania Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
  19. JamiiForums Tanzania MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…