mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona polo wengi? Wajuzi wa mambo nielewesheni

    Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kitaifa chadema unadhihirisha jinsi gani wana chadema na watanzania wengine wasivyotamani kuona ukoloni mambo leo ukirejea Tanzania

    Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa. Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

    Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo bado kesi ya Dr Manguruwe, kuendelea kusota rumande, kesi yaahirishwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na 7. Uwolowolo Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mambo ya umma hayazungumziwi chumbani, wapambe wa bwana mkubwa hawapendi nizungumze nje

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024 Lissu amesema "Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Habari ni jumbe nimepata kutoka google nataka kufafanuliwa kwa wataalam wa izi mambo

    Google You've closed your Google payments profile Hello from Google, You recently closed your Google payments profile. You'll still be responsible for outstanding balances. Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    (1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  11. JamiiForums Tanzania Bashungwa Akabidhiwa Ofisi na Masauni, Wizara ya Mambo ya Ndani

    BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  13. JamiiForums Tanzania Haya mambo yanatesa sana vijana wa taifa hili

    Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili. 1. Pombe kali, visungula, double kick 2. Betting 3. Ngono zembe 4. Simba na yanga 5. CCM Kama kuna vingine unaweza kuongezea
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  15. JamiiForums Tanzania Bashungwa apokelewa Wizara ya Mambo ya Ndani - Zanzibar

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara...
  16. JamiiForums Tanzania Nina swali wajuzi wa mambo

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar? Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma kila mahali.
  17. JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Yule mdau alikuwa anaporomosha matusi makubwamakubwa ya nguoni mengine hata sijawahi kuyasikia hapo kabla aisee
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya Mapenzi ambayo nimejifunza late katika maisha ambayo kijana wa sasa unatakiwa ujifunze mapema

    Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Kila Wizara/Idara iandae documentary ya mambo inayoshughulikia tangu uhuru, kisha iwasilishwe kwa vyombo vyote vya habari

    Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi (hasa TBC na Idara ya Habari Maelezo) wamezihodhi, na hawataki jamii izifikie. Kama nchi tunahitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

    Waziri Masauni yupo yupo tu. Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa. Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu. Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu. Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku. Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo. Wizara mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…