mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  2. JamiiForums Tanzania Epuka haya mambo mwanaume

    Wanaume, Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana, Pornography Uvutaji sigara Punyeto/kujichua Unywaji pombe kupita kiasi Dawa za kuongeza nguvu za kiume Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
  3. JamiiForums Tanzania Ni mambo Gani ya kuzingatia ninapoanzisha kijiwe cha kuku choma? ChatGpt anijibu Hivi Kwa kina!

    Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa.. Shuka nayo hapa......
  4. U

    JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu mlokole ni wa ajabu sana. Anafanya mambo ya ajabu! Msaidieni jamani

    Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu! Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
  7. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wote wenye akili na uelewa wa mambo hushabikia CHADEMA?

    Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

    Habari Wakuu! Bila kupoteza wakati. 1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono. Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu. 2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili...
  10. JamiiForums Tanzania Furaha yako itarejea au kuongezeka, ukifanya mambo haya 15

    Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo: Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani. Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yanaweza kukupotezea biashara yako ni mazoea na urafiki kwenye biashara hiyo

    Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi. Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa. Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

    Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada. Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

    Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo. Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
  16. JamiiForums Tanzania Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  17. JamiiForums Tanzania Lilikuwa jambo la kushangaza kutumia malimao na tangawizi watu wajifukize ili kupambana na corona

    Wakati wa Corona mwaka 2020 nilikuwa kijijini nimeenda kuangalia mashamba Ila nilichoka Sana nilipomuona MTU ambaye Hana Elimu ya Afya ni lay -Man aliamua kuwaambia watanzania kuwa Watumie malimao na tangawizi na wajifukize ili kupambana na corona. Na hakuishia hapo akaenda Muhimbili...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo Nane ya Kuzingatia Ukienda Ukweni

    1. FANYA TAFITI NDOGO KUWAHUSU. Muulize mwenza wako kuhusu asili yao, namna wanavyoishi, nini unatakiwa ufanye na nini hutakiwi kufanya. Jifunze kusalimia kwa lugha yao kama sio ngumu sana, watafurahi kuona unajitahidi kuwa kama wao na hii itaonyesha ni kwa namna gani upo serious katika kujenga...
  20. JamiiForums Tanzania Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…