mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  2. Upuuzi ni pale unapo analyze mambo yanayofanyika kwa kutumia kipimo cha dini. Yani nyoka sio nyoka tena kwako kama amevaa gamba la dini yako. SHAME!

    Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka. Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
  3. Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  4. Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

    Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani. wakristo...
  5. PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
  6. Mambo ni vice versa(Tutalalaje hapachakucha?),Mjini ni ya vimbweka bado!

    Wanajukwàa. katika kipindi ambacho dunia inaomboleza Kifo cha Baba mtakatifu(Papa Fransco),Taifa linashuhudia mitikisiko ya kisiasa ndani ya vyama( chadema),na vijana wenzetu wanapotea kwenye kelele za mitandao -mimi  Kalooo nimekuja na ujumbe wa aina hii mbele yenu. kuhusu kifo cha Baba...
  7. Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

    Wengi wenu Mmekua mukiniuliza maswali mengi kuhusu kutofanikisha makusudio ya jambo kama biashara na mengine bila sababu za msingi na hua haingii akilini kuvurigika kwake Napenda kuwambia kua jambo linalovurugika katika mwisho wake hali ya kua lilikua vizuri na likavurugika bila sababu za...
  8. Mambo ya Ajabu kabisa.

    Kwanini Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
  9. Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

    Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani. Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
  10. Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  11. S

    PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  12. Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  13. Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  14. M

    Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch

    1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana. 2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana...
  15. Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  16. WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  17. Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
  18. Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  19. Matukio saba (7) ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa msalabani

    Matukio saba ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa saa sita mchana huko Goligota. 1. Giza Kutanda Mchana (Saa Sita hadi Saa Tisa) Katika Injili ya Marko 15:33 na Mathayo 27:45, inasemekana kuwa giza kuu lilitanda juu ya nchi yote kuanzia saa sita hadi saa tisa (saa 12:00 – 3:00...
  20. Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…