wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state",
1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki,
2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka,
3. Viongozi wanakula kwa urefu kwa kamba zao,
4. Chaguzi zinafanyiwa figisu na uhuni waziwazi huku bado wakijisifu wameshinda.
5. Watu...