mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo haya hutafunzwa shuleni katu........

    VITU 4 AMBAVYO HUFUNDISHWI SHULENI LAKINI NI MUHIMU MAISHANI MWAKO Shuleni watu hufundishwa kufanikiwa tu ila hakuna somo la kumuelekeza mtu afanye nini anapokuwa katika nyakati ngumu sana Kila mtu amekaririshwa kuwa soma sana,faulu utapata kazi nzuri kisha utakuwa na maisha mazuri Hivyo kila...
  2. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  3. JamiiForums Tanzania Duniani kuna mambo.

  4. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za simu 4. Katiba mpya 5. Maridhiano ya kitaifa 6. Ripoti ya CAG 7. Ubovu wa bunge la JMT. Kila la...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenye utaalamu na mambo ya kodi ya magari

    Salaam, Nimenunua gari Zanzibar, Nimeambiwa ushuru wake ni milion 28 kuileta Dar. Kuna mtu mwingine kanambia naweza kupata punguzo kama nitaongea na TRA na kuandika barua. Swali langu ni je hilo jambo ni kweli lipo na linawezekana? Kwa wale watu wenye utaalamu na mambo ya TRA au ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

    Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum. Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani. Sasa naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…