Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu.
Are we not comparing apples to oranges?
Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?
Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.
Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.
Acheni kucheza na hela za watu bana.
Rudisheni hela za wote mliowaibia.
Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na...
Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
Kwema wakuu
Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia
Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.