mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

    Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja. Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki. Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa...
  2. Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
  3. K

    Kuhusu Mama Samia Bond za CRDB

    Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu. Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%. Mpaka leo sijawekewa...
  4. K

    Raisi Samia kawaangusha viongozi wanawake sana kwa miaka mingi🤦🏾‍♂️

    Raisi Samia kawaangusha sana viongozi wanawake kwa kutokutumia nafasi yake vizuri 1. Kuonekana muongo kwa kusema vitu bila kutekeleza 2. Kuonekana kama wanawake hawana misimamo kwa kubadilika badilika kuanzia kwenye maridhiano leo kabadilika. Mikataba ya wazi leo kabadilika nafasi yake vizuri...
  5. PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  6. PreGE2025 Eric Shigongo: Mama Samia amekubali kutoa milioni 40 kujenga mradi wa maji Nyehunge

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa. Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa...
  7. D

    Rais Samia na Mei Mosi

    Utangulizi Mei Mosi ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi, inayotumika kutambua, kusherehekea, na kuangazia mchango muhimu wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Katika Tanzania, siku hii huadhimishwa kwa hamasa kubwa, huku serikali na vyama vya wafanyakazi wakitumia fursa hiyo kuzungumzia...
  8. Mkoa wa Manyara hakuna tunachomdai Mama Samia

    Ilani ya CCM 2020-2025 , Mkoa wa Manyara, hakuna tunachomdai Mama Samia!
  9. PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  10. Lisu kuwa gerezani chini ya serikali ya Mama Samia kunaweza kuleta Ufa kwenye Muungano!

    Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya. Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere...
  11. PreGE2025 Mama Samia shtuka sasa, suala la Lissu unaweza kuwa unaingizwa chaka!

    Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%. Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo mbali mbali ambayo hapa sitajadili. Lakini kwa mfumuko wa zengwe la Lissu kuzushiwa kesi ya "uhaini"...
  12. K

    Hii kauli sijui kama mama Samia anaikumbuka na kuitekeleza

  13. K

    PreGE2025 Rais Samia elewa No reform maana yake ni damu za Watanzania

    Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako. Ni...
  14. Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

    MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach. Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti. Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti. Mama endelea hivyo hivyo
  15. K

    Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

    Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni. Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya...
  16. PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
  17. Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  18. K

    PreGE2025 Inasikitisha: Rais Samia kasahau nchi anafikira chaguzi tu kwasasa?

    Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
  19. Mama Samia umepiga bull: Kamishna wa Ardhi cheo cha rushwa kubwa.

    Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi. Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
  20. U

    Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

    Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia. Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…