Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka kuvujisha taarifa za siri kwa kutuma sehemu isiyostahili.
Mbali na hilo pia waratibu hao na wasimamizi...
Duniani tunaishi tunaishia.
College mate wangu ametuacha mapema sana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane.
Na hapa ndipo wazo likaniijia dunia ya sasa watu tuna makundi mengi ya kufarijiana katika matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.