Mwanangu juzi amekuja kiziara makumbusho ya taifa hapo, jioni namuuliza jinsi tour yake kama aliienjoy. Kasema hivi na hivi, kaniambia sijui kaona samak sijui vipi
Swali langu kwenu kwanini hamuweki michezo kama pembea, seesaw, trampoline, or mgahawa. Pale kila nikipita naona watoto wamejaa ila...